Je, chanjo inawezaje kuzuia kichaa cha mbwa kwa mbwa?
Kichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari katika sehemu nyingi za Afrika. Lakini inaweza kuzuiwa kwa kupatia mbwa wako chanjo. Chanjo hulinda mbwa na kuwazuia kueneza ugonjwa kwa wanyama wengine na kwa binadamu.
| Main Author: | |
|---|---|
| Format: | Video |
| Language: | Swahili |
| Published: |
International Livestock Research Institute
2023
|
| Subjects: | |
| Online Access: | https://hdl.handle.net/10568/130402 |
| Summary: | Kichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari katika sehemu nyingi za Afrika. Lakini inaweza kuzuiwa kwa kupatia mbwa wako chanjo. Chanjo hulinda mbwa na kuwazuia kueneza ugonjwa kwa wanyama wengine na kwa binadamu. |
|---|