Je, chanjo inawezaje kuzuia kichaa cha mbwa kwa mbwa?
Kichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari katika sehemu nyingi za Afrika. Lakini inaweza kuzuiwa kwa kupatia mbwa wako chanjo. Chanjo hulinda mbwa na kuwazuia kueneza ugonjwa kwa wanyama wengine na kwa binadamu.
| Autor principal: | |
|---|---|
| Formato: | Video |
| Lenguaje: | suajili |
| Publicado: |
International Livestock Research Institute
2023
|
| Materias: | |
| Acceso en línea: | https://hdl.handle.net/10568/130402 |
| Sumario: | Kichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari katika sehemu nyingi za Afrika. Lakini inaweza kuzuiwa kwa kupatia mbwa wako chanjo. Chanjo hulinda mbwa na kuwazuia kueneza ugonjwa kwa wanyama wengine na kwa binadamu. |
|---|