Uvunaji wa maji ya mvua ili kuongeza uzalishaji wa chakula cha mifugo

Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la uvunaji wa maji ya mvua ili kuongeza uzalishaji wa chakula cha mifugo. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa k...

Full description

Bibliographic Details
Main Author: Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation
Format: Extension Material
Language:Swahili
Published: Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation 2010
Online Access:https://hdl.handle.net/10568/75477
Description
Summary:Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la uvunaji wa maji ya mvua ili kuongeza uzalishaji wa chakula cha mifugo. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.