Uvunaji wa maji ya mvua ili kuongeza uzalishaji wa chakula cha mifugo

Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la uvunaji wa maji ya mvua ili kuongeza uzalishaji wa chakula cha mifugo. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa k...

Descripción completa

Detalles Bibliográficos
Autor principal: Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation
Formato: Extension Material
Lenguaje:suajili
Publicado: Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation 2010
Acceso en línea:https://hdl.handle.net/10568/75477
Descripción
Sumario:Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la uvunaji wa maji ya mvua ili kuongeza uzalishaji wa chakula cha mifugo. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.