Uandalizi wa chakula cha ng’ombe wa maziwa kwa njia ya silage

Filamu hii inaonyesha usanifu asili na ustawishaji wa teknologia ya silage kutokana na viazi vitamu uliofanywa na Kituo cha Mazingira Centre kinachohusika na utafiti na elimu katika International Livestock Research Institute (ILRI). Kazi hii imetekelezwa chini ya mradi wa Green Innovation Centres (G...

Descripción completa

Detalles Bibliográficos
Autor principal: International Livestock Research Institute
Formato: Video
Lenguaje:suajili
Publicado: International Livestock Research Institute 2017
Materias:
Acceso en línea:https://hdl.handle.net/10568/82608
Descripción
Sumario:Filamu hii inaonyesha usanifu asili na ustawishaji wa teknologia ya silage kutokana na viazi vitamu uliofanywa na Kituo cha Mazingira Centre kinachohusika na utafiti na elimu katika International Livestock Research Institute (ILRI). Kazi hii imetekelezwa chini ya mradi wa Green Innovation Centres (GIAE) kwa niaba ya wizara ya serikali ya Ujerumani ya ushirikiano wa uchumi na maendeleo (BMZ).