Kuunganisha wakulima wadogo na soko
Kipeperushi hiki cha kurasa 12, kinachofaa kwa matumizi kivitendo mashambani na rahisi kusoma kinahusu somo la kuwaunganisha wakulima wadogo wadogo na masoko. Kinatoa rejea ya somo lenyewe, kinaelezea njia na kutoa bakshishi, majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.
| Autor principal: | |
|---|---|
| Formato: | Extension Material |
| Lenguaje: | suajili |
| Publicado: |
Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation
2009
|
| Acceso en línea: | https://hdl.handle.net/10568/75473 |
Ejemplares similares: Kuunganisha wakulima wadogo na soko
- Bustani za uyoga kwa wakulima wadogo vijijini: Ugoya aina ya oyster, shiitake na wood-ear
- Viwango na vigezo vya ubora wa mahindi: Mwongozo wa mwezeshaji kwa wakulima wadogo nchini Tanzania
- Kijitabu cha kufundishia wakulima wadogo wa Maharage wa nyanda za juuu kusini mwa Tanzania
- Shughuli zilizoboreshwa kwa ajili ya kupunguza upotevu na kuboresha mazao baada ya kuvuna: Mwongozo wa mkufunzi kwa wakulima wadogo wa mahindi nchini Tanzania
- Utunzaji wa rutuba ya udongo katika halmashauri ya wilaya ya Babati Mwongozo kwa vitendo unaohusu utekelezaji wa kanuni bora za kilimo kupitia mifumo ya kilimo kwa wakulima wadogo
- Enhancing the Digital Platform Viazi Soko to Support Seed and Potato Marketing in Kenya