Jinsi ya kudhibiti kiduha na dumuzi kwenye mahindi

Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la njia ya kudhibiti kiduha na dumuzi kwenye mahindi. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na...

Descripción completa

Detalles Bibliográficos
Autor principal: Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation
Formato: Extension Material
Lenguaje:suajili
Publicado: Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation 2010
Acceso en línea:https://hdl.handle.net/10568/75463
Descripción
Sumario:Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la njia ya kudhibiti kiduha na dumuzi kwenye mahindi. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.