Jinsi ya kuhifadhi mboga za majini na matunda
Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la jinsi ya kuhifadhi mboga za majani na matunda. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na mich...
| Main Author: | |
|---|---|
| Format: | Extension Material |
| Language: | Swahili |
| Published: |
Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation
2010
|
| Online Access: | https://hdl.handle.net/10568/75465 |
| Summary: | Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la jinsi ya kuhifadhi mboga za majani na matunda. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe. |
|---|