Kutengeneza chips na unga wa viazi vitamu
Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la kutengeneza chips na unga wa viazi vitamu. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro...
| Autor principal: | |
|---|---|
| Formato: | Extension Material |
| Lenguaje: | suajili |
| Publicado: |
Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation
2010
|
| Acceso en línea: | https://hdl.handle.net/10568/75471 |
Ejemplares similares: Kutengeneza chips na unga wa viazi vitamu
- Kutengeneza chipsi na unga wa ndizi
- Tumia Mbegu Bora za Viazi Vitamu: Ongeza Mavuno... Ongeza Mapato
- Viazi lishe kwa uboreshaji wa afya
- Jinsi ya kutayarisha unga wa nhogo
- Mwavuli wa Miti na Uoto Hupunguza Upotevu wa Maji, Virutubisho na Udongo
- Uzalishaji bora wa maziwa: Mwongozo wa kufundishia wafugaji na wahudumu wa maziwa Afrika Mashariki