Ufugaji wa mbuzi wa maziwa
Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la ufugaji mbuzi wa maziwa. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojielez...
| Autor principal: | |
|---|---|
| Formato: | Extension Material |
| Lenguaje: | suajili |
| Publicado: |
Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation
2010
|
| Acceso en línea: | https://hdl.handle.net/10568/75476 |
| Sumario: | Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la ufugaji mbuzi wa maziwa. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe. |
|---|