Homa ya Bonde la Ufa: Matukio na dalili za ugonjwa

Homa ya Bonde la Ufa ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Adhari zake kwa mifugo ni kutupa au kuavya mimba kwa wingi na vifo vya watoto wa mifugo pindi wanapozaliwa. Ugonjwa wenyewe una asili ya wanyama ambapo pia huweza kuenezwa kwa binadamu.

Bibliographic Details
Main Author: International Livestock Research Institute
Format: Video
Language:Swahili
Published: International Livestock Research Institute 2018
Subjects:
Online Access:https://hdl.handle.net/10568/98893
Description
Summary:Homa ya Bonde la Ufa ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Adhari zake kwa mifugo ni kutupa au kuavya mimba kwa wingi na vifo vya watoto wa mifugo pindi wanapozaliwa. Ugonjwa wenyewe una asili ya wanyama ambapo pia huweza kuenezwa kwa binadamu.