Uandalizi wa chakula cha ng’ombe wa maziwa kwa njia ya silage

Filamu hii inaonyesha usanifu asili na ustawishaji wa teknologia ya silage kutokana na viazi vitamu uliofanywa na Kituo cha Mazingira Centre kinachohusika na utafiti na elimu katika International Livestock Research Institute (ILRI). Kazi hii imetekelezwa chini ya mradi wa Green Innovation Centres (G...

Full description

Bibliographic Details
Main Author: International Livestock Research Institute
Format: Video
Language:Swahili
Published: International Livestock Research Institute 2017
Subjects:
Online Access:https://hdl.handle.net/10568/82608
Description
Summary:Filamu hii inaonyesha usanifu asili na ustawishaji wa teknologia ya silage kutokana na viazi vitamu uliofanywa na Kituo cha Mazingira Centre kinachohusika na utafiti na elimu katika International Livestock Research Institute (ILRI). Kazi hii imetekelezwa chini ya mradi wa Green Innovation Centres (GIAE) kwa niaba ya wizara ya serikali ya Ujerumani ya ushirikiano wa uchumi na maendeleo (BMZ).