Nija bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji

Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la njia bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro r...

Full description

Bibliographic Details
Main Author: Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation
Format: Extension Material
Language:Swahili
Published: Technical Centre for Agricultural and Rural Cooperation 2010
Online Access:https://hdl.handle.net/10568/75475
Description
Summary:Hiki kijikaratasi chenye kurasa 8, kinachofaa kwa matumizi kivitendo na ambacho ni rahisi kusoma, kinashughulikia suala la njia bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji. Pamoja na kutoa rejea ya somo lenyewe, kijikaratasi hiki pia hutoa maelezo na mapendekezo mbalimbali kwa kutumia majedwali na michoro rahisi inayojieleza yenyewe.