Kielezo cha uwezeshaji wa wanawake katika biashara inayohusiana na mifugo (WELBI): Mwongozo wa maagizo

Iliundwa kufuatia Kielezo cha Uwezeshaji Wanawake katika Mifugo (WELI) na kufuata mpangilio wa "Pro-WEA_for_Value chains” na watafiti kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI), moduli ya WELBI ni kifaa kipya kilichosawazishwa ambacho hupima uwezeshaji wa wanawake wanaoshiriki katika bi...

Full description

Bibliographic Details
Main Authors: Galiè, Alessandra, Teufel, Nils, Omondi, Immaculate A., Kariuki, Eunice
Format: Manual
Language:Swahili
Published: ILRI 2023
Subjects:
Online Access:https://hdl.handle.net/10568/138360
Description
Summary:Iliundwa kufuatia Kielezo cha Uwezeshaji Wanawake katika Mifugo (WELI) na kufuata mpangilio wa "Pro-WEA_for_Value chains” na watafiti kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI), moduli ya WELBI ni kifaa kipya kilichosawazishwa ambacho hupima uwezeshaji wa wanawake wanaoshiriki katika biashara zinazohusiana na mifugo. Mwongozo huu unatoa maagizo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kutekeleza utafiti wa WELBI.