Hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzania

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa hadithi za mafanikio zilizosimuliwa na wakulima ambao wamenufaika na mradi wa Africa RISING katika Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESA). Kitabu hiki kinaelezea namna ambavyo mkusanyiko wa mbinu bora za kilimo umebadilisha maisha ya wakulima wengi wadogowadogo wanaoishi k...

Descripción completa

Detalles Bibliográficos
Autores principales: Kihara, Job Maguta, Kinyua, Michael, Massam, Jonus, Pallagjo, Rose, Songoyani, Inot, Kyekaka, Jetrida
Formato: Informe técnico
Lenguaje:suajili
Publicado: 2022
Materias:
Acceso en línea:https://hdl.handle.net/10568/121878
_version_ 1855519755908153344
author Kihara, Job Maguta
Kinyua, Michael
Massam, Jonus
Pallagjo, Rose
Songoyani, Inot
Kyekaka, Jetrida
author_browse Kihara, Job Maguta
Kinyua, Michael
Kyekaka, Jetrida
Massam, Jonus
Pallagjo, Rose
Songoyani, Inot
author_facet Kihara, Job Maguta
Kinyua, Michael
Massam, Jonus
Pallagjo, Rose
Songoyani, Inot
Kyekaka, Jetrida
author_sort Kihara, Job Maguta
collection Repository of Agricultural Research Outputs (CGSpace)
description Kitabu hiki ni mkusanyiko wa hadithi za mafanikio zilizosimuliwa na wakulima ambao wamenufaika na mradi wa Africa RISING katika Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESA). Kitabu hiki kinaelezea namna ambavyo mkusanyiko wa mbinu bora za kilimo umebadilisha maisha ya wakulima wengi wadogowadogo wanaoishi katika wilaya ya Babati, Tanzania. Kitabu kinaelezea vile teknolojia zilizo na uhitaji zilianzishwa kwa wakulima kutatua changamoto zilizowakabili wakulima wengi katika eneo hili. Ushahidi wa mafanikio kwa wakulima waliotumia teknolojia zilizoboreshwa za kilimo unaelezwa zaidi katika kitabu hiki. Katika kuangazia teknolojia bora za kilimo zitakazofaa katika wilaya ya Babati, mtindo wa Mbili-Mbili, mbinu bora za kilimo na utunzaji wa rutuba ya udongo na maji (ISFM) kama vile kupanda kwa nafasi sahihi, matumizi ya mbegu bora na matumizi ya mbolea ya samadi, ilikuwa sahihi kuwa zina uwezo wa kuleta faida kubwa kwa wakulima. Shukrani kwa mradi wa Africa RISING. Ili kupunguza mapungufu ya uzalishaji, kudhibiti wadudu na magonjwa yanayoshambulia mazao ya wakulima wadogowadogo na kuweka mazingira safi ya soko kwa wakulima. Mradi wa Africa RISING umekua ukijitahidi kufanya utafiti ili kupambana na changamoto hizi. Ushirikiano wa watafiti na mashirika ya maendeleo katika mradi huu umeweza kuwawezesha wakulima kuwa na mbinu endelevu za kilimo. Mbinu hizi zimeweza kuboresha kilimo na kuleta mafanikio kwa jamii kwa kuleta tija bora, kipato, lishe na usalama wa chakula.
format Informe técnico
id CGSpace121878
institution CGIAR Consortium
language Swahili
publishDate 2022
publishDateRange 2022
publishDateSort 2022
record_format dspace
spelling CGSpace1218782024-02-16T10:05:45Z Hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzania Kihara, Job Maguta Kinyua, Michael Massam, Jonus Pallagjo, Rose Songoyani, Inot Kyekaka, Jetrida farming systems integrated soil fertility management intensive farming smallholders appropriate technology sistemas de explotación manejo integrado de la fertilidad del suelo explotación agrícola intensiva Kitabu hiki ni mkusanyiko wa hadithi za mafanikio zilizosimuliwa na wakulima ambao wamenufaika na mradi wa Africa RISING katika Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESA). Kitabu hiki kinaelezea namna ambavyo mkusanyiko wa mbinu bora za kilimo umebadilisha maisha ya wakulima wengi wadogowadogo wanaoishi katika wilaya ya Babati, Tanzania. Kitabu kinaelezea vile teknolojia zilizo na uhitaji zilianzishwa kwa wakulima kutatua changamoto zilizowakabili wakulima wengi katika eneo hili. Ushahidi wa mafanikio kwa wakulima waliotumia teknolojia zilizoboreshwa za kilimo unaelezwa zaidi katika kitabu hiki. Katika kuangazia teknolojia bora za kilimo zitakazofaa katika wilaya ya Babati, mtindo wa Mbili-Mbili, mbinu bora za kilimo na utunzaji wa rutuba ya udongo na maji (ISFM) kama vile kupanda kwa nafasi sahihi, matumizi ya mbegu bora na matumizi ya mbolea ya samadi, ilikuwa sahihi kuwa zina uwezo wa kuleta faida kubwa kwa wakulima. Shukrani kwa mradi wa Africa RISING. Ili kupunguza mapungufu ya uzalishaji, kudhibiti wadudu na magonjwa yanayoshambulia mazao ya wakulima wadogowadogo na kuweka mazingira safi ya soko kwa wakulima. Mradi wa Africa RISING umekua ukijitahidi kufanya utafiti ili kupambana na changamoto hizi. Ushirikiano wa watafiti na mashirika ya maendeleo katika mradi huu umeweza kuwawezesha wakulima kuwa na mbinu endelevu za kilimo. Mbinu hizi zimeweza kuboresha kilimo na kuleta mafanikio kwa jamii kwa kuleta tija bora, kipato, lishe na usalama wa chakula. 2022-09 2022-09-14T09:26:42Z 2022-09-14T09:26:42Z Report https://hdl.handle.net/10568/121878 sw Open Access Kihara, J.; Kinyua, M.; Massam, J.; Pallagjo, R.; Songoyani, I.; Kyekaka, J. (2022) Hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzania. Ibadan (Nigeria): IITA. 35 p.
spellingShingle farming systems
integrated soil fertility management
intensive farming
smallholders
appropriate technology
sistemas de explotación
manejo integrado de la fertilidad del suelo
explotación agrícola intensiva
Kihara, Job Maguta
Kinyua, Michael
Massam, Jonus
Pallagjo, Rose
Songoyani, Inot
Kyekaka, Jetrida
Hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzania
title Hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzania
title_full Hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzania
title_fullStr Hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzania
title_full_unstemmed Hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzania
title_short Hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo. Sauti za wakulima kutoka Wilaya ya Babati, Tanzania
title_sort hadithi za ufanisi kuhusu matumizi ya mchanganyiko wa mbinu za kuhifadhi rutuba ya udongo sauti za wakulima kutoka wilaya ya babati tanzania
topic farming systems
integrated soil fertility management
intensive farming
smallholders
appropriate technology
sistemas de explotación
manejo integrado de la fertilidad del suelo
explotación agrícola intensiva
url https://hdl.handle.net/10568/121878
work_keys_str_mv AT kiharajobmaguta hadithizaufanisikuhusumatumiziyamchanganyikowambinuzakuhifadhirutubayaudongosautizawakulimakutokawilayayababatitanzania
AT kinyuamichael hadithizaufanisikuhusumatumiziyamchanganyikowambinuzakuhifadhirutubayaudongosautizawakulimakutokawilayayababatitanzania
AT massamjonus hadithizaufanisikuhusumatumiziyamchanganyikowambinuzakuhifadhirutubayaudongosautizawakulimakutokawilayayababatitanzania
AT pallagjorose hadithizaufanisikuhusumatumiziyamchanganyikowambinuzakuhifadhirutubayaudongosautizawakulimakutokawilayayababatitanzania
AT songoyaniinot hadithizaufanisikuhusumatumiziyamchanganyikowambinuzakuhifadhirutubayaudongosautizawakulimakutokawilayayababatitanzania
AT kyekakajetrida hadithizaufanisikuhusumatumiziyamchanganyikowambinuzakuhifadhirutubayaudongosautizawakulimakutokawilayayababatitanzania