Nini tunapaswa kubadilisha ili wakulima wadogowadogo wa Babati wawe na kilimo endelevu na waimarike? Mambo ya kujifunza kutokana na utafiti wa kijamii uliofanyika kwa miaka 10. Muhstasari wa ushahidi kutoka Babati

Muhtasari huu unaonyesha fursa zilizopo ili kufanikisha uzalishaji, lishe, pamoja na kipato kwa wakulima wadogowadogo katika wilaya ya Babati, Tanzania. Maelezo haya yametokana na mfululizo wa majaribio ya kitafiti yaliyofanyika chini ya mradi wa Africa RISING tangu mwaka 2012 ikihusisha majaribio y...

Full description

Bibliographic Details
Main Authors: Kihara, Job Maguta, Kinyua, Michael, Massam, Jonus, Pallagjo, Rose, Songoyani, Inot, Kyekaka, Jetrida
Format: Brief
Language:Swahili
Published: 2022
Subjects:
Online Access:https://hdl.handle.net/10568/121871

Similar Items: Nini tunapaswa kubadilisha ili wakulima wadogowadogo wa Babati wawe na kilimo endelevu na waimarike? Mambo ya kujifunza kutokana na utafiti wa kijamii uliofanyika kwa miaka 10. Muhstasari wa ushahidi kutoka Babati