Homa ya Bonde la Ufa: Kuzuia na kudhibiti
Homa ya Bonde la Ufa ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Adhari zake kwa mifugo ni kutupa au kuavya mimba kwa wingi na vifo vya watoto wa mifugo pindi wanapozaliwa.
| Main Author: | |
|---|---|
| Format: | Video |
| Language: | Swahili |
| Published: |
International Livestock Research Institute
2018
|
| Subjects: | |
| Online Access: | https://hdl.handle.net/10568/98892 |
| Summary: | Homa ya Bonde la Ufa ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Adhari zake kwa mifugo ni kutupa au kuavya mimba kwa wingi na vifo vya watoto wa mifugo pindi wanapozaliwa. |
|---|